Genesis 25:5-6

5 aAbrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho. 6 bLakini Abrahamu alipokuwa bado hai, akawapa watoto wa masuria wake zawadi, kisha akawaondoa waende kuishi pande za mashariki mbali na mwanawe Isaki.

Copyright information for SwhNEN